TANGAZA NASI

header ads

Mufti Sheikh Mkuu: Hayati Magufuli alikua kiongozi wa kweli kwa kila Mtanzania bila kujali dini wala kabila



 kiongozi wa kweli kwa kila Mtanzania, aliyejali maslahi ya kila Mtanzania bila kujali dini wala kabila.

Kwa niaba ya Baraza la Waislamu Tanzania Mufti Sheikh Mkuu Aboubakar Zuberi Ally amebainisha baadhi ya mambo ambayo Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ameyafanya kwaajili ya Waislan wa Taifa lake ikiwa ni pamoja na kufanikisha kujengwa kwa msikiti mkubwa wa Mfalme Muhammad wa Sita. 

Post a Comment

0 Comments