Mwandishi wa habari wa ITV Brandina ambaye mwili wake uliokotwa akiwa amefariki maeneo ya Bamaga jijini Dar Es Salaam anatarajiwa kuzikwa Alhamisi hii nyumbani kwao Musoma kwa mujibu wa kaka wa marehemu, Paul.
Paul amedai marehemu aliondoka nyumbani kwaajili ya kwenda kusuka mjini kwa madai alikuwa anajiandaa kwaajili ya kwenda kazini Jumatatu
Marehemu ameacha mtoto mmoja ambaye kwa sasa anasoma chuo kikuu cha Tumaini mwaka wa tatu.
0 Comments