TANGAZA NASI

header ads

Mzee wetu Mngereza alikua Karibu sana na Wasanii, Siku chache nilikua nae- Daimond

 


Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezungumza katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam wakati wa kuagwa kwa mwili wa Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza leo Desemba 29.

“Mzee wetu Mngereza alikua Karibu sana na Wasanii na alijitahidi sana Kusimamia Sheria katika mfumo uliokua rafiki “ Diamond Platnumz

Post a Comment

0 Comments