TANGAZA NASI

header ads

Maandamano yapelekea vifo Iraq

 


Watu wawili walipoteza maisha na 15 walijeruhiwa katika mapigano yaliyotokea katika maandamano ya Serikali ya Mkoa wa Wakurdi wa Iraq katika mji wa Sulaymaniyah.

Mamlaka yalisema kwamba wakati wa maandamano wilayani Kifri, kijana wa miaka 26, ambaye alikuwa miongoni mwa waandamanaji, alipoteza maisha na mwingine mmoja aliaga dunia baada ya kufikishwa hospitalini.

Majengo ya chama yalichomwa moto wakati wa maandamano katika wilaya ya Seyitsadık huko Sulaymaniyah.

Post a Comment

0 Comments