Na Amiri Kilagalila,Njombe
Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe,Njombe Press Club (NPC).Kimempongeza Ndug,Hamis Kasapa (Kushoto pichani) kwa uthubutu na kuwania nafasi ya ujumbe wa bodi ya Club za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) na kushika nafasi ya sita kwa kupata kura 16 kati ya 83 katika uchaguzi uliofanyika November 17,2020 mkoani Morogoro.
Mratibu wa Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Gresiana Kavishe kwa niaba ya uongozi wa Chama hicho amempongeza ndugu Kasapa huku akimtakia heri kwa uthubutu na kuamini ushindi katika awamu nyingine ya uchaguzi.
"Nawapa pongezi viongozi wote waliothubutu kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi yoyote ya uongozi, Mungu awape nguvu zaidi wasikate tamaa siku moja na wao ndoto zao zitatimia. Wao ni majasiri na wameandika historia pia" Alisema Gresiana Kavishe
Ujumbe wa bodi Kundi la Wanaume Waliogombea 9 Kura 83 zilizopigwa
1.Ali Omary Mbarouq 9
2.Robison wangaso 11
3.Novatus Lyaruu 13
4.hamis Kasapa 16
5.bahati nyakiraria 24
6.musa yusuph 51
7.cloud Gwandu 61
8.frank Leonard 64
9.abdulrahman Mfaume 69
Washindi kundi la Wanaume
1.Abdulrahman Mfaume
2.Frank Leonard
3.Musa yusuph Musa
4.Cloud Gwandu
Urais wa UTPC
Kura 83
1.Deo Nsokolo 72
2.Edwin Soko 11
Kura 83 pigwa,hakuna iliyoharibika
Rais UTPC ni DEO Nsokolo
Nafasi ya Makamu wa Rais wa UTPC
1.Lulu George 18
2.Pendo Mwakyembe 65
Kura 83 pigwa
Mshindi ni Pendo Mwakyembe
KUNDI LA WANAWAKE UJUMBE WA BODI
Happines severine Kura 12, Irene Mark 13, Caren Masasi 29, Patricia Kimelemeta 40, Hadija Omary kura 48, Lilian Lucas 51, Salma Abdul Kura 62,Paulina David 63.
Washindi wanawake wanne ni
1.Paulina David
2.Salma Abdul
3.Lilian Lucas
4.Khadija Omary
0 Comments