TANGAZA NASI

header ads

Wazir Junior ashindwa kuzuia hisia zake "Kimetimia"

 

Wazir Junior mara baada ya kufanikiwa kuingia kandarasi ya kuitumikia Club ya Yanga katika msimu ujao,ameshindwa kuzuia hisia zake  huku akionyesha kutimia kwa ndoto zake za muda mrefu kuitmikia Club hiyo.

"Nilimpromise mama yangu kabla hajafariki ipo siku nitaichezea Yanga. Namshukuru Mwenyezi Mungu nilichomuahidi mama yangu kimetimia" Wazir Junior.

Post a Comment

0 Comments