TANGAZA NASI

header ads

Hashim Rungwe achukua fomu ya urais katika ofisi za NEC

 

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe leo Agosti 10, 2020 amefika na kukabidhiwa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Uchaguzi NEC jijini Dodoma.000000000000000

Post a Comment

0 Comments