TANGAZA NASI

header ads

Diamond kutikisa tamasha la Simba day

Msanii Diamond Platnumz anatarajia kutumbuiza katika Uwanja wa Taifa kwenye Siku kubwa ya kimichezo inayoandaliwa na Simba maarufu kama SIMBA DAY.

Hilo Limethibitishwa na Msemaji Mkuu wa Timu hiyo Haji Manara , ambae amesema Mwaka huu Tamasha la Simba Day Litakuwa Kubwa kama Matamasha Makubwa ya Muziki .

Tamasha hilo linategemewa kufanyika Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa , huku likisheheni Matukio Mbalimbali ya kimichezo na Burudani maalumu Kwa ajili ya Wapenzi wa Timu ya Simba na wapenda Michezo Nchini .

Post a Comment

0 Comments