Boris Johnson, waziri mkuu wa Uingereza azungumza na kansela wa Ujerumani Angela Merkel.
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson azungumza na kansela wa Ujerumani Bi Angela Maerkel kuhusu masuala tofauti ikiwemo mapambano dhidi ya virusi vya corona na Brexit, baada na kabla.
Uturuki imeonesha ushirikiano na mataifa washirika katika kipindi hiki kigumu cha kupamabana na maambukizi ya virusi vya corona.
Uingereza ni moja ya mataifa ambayo Uturuki imeonesha ushirikiano.
Katika mzungumzo hayo , waziri mkuu wa Uingereza na Kansela wa Ujerumani wamejadili kuhusu hali iliopo nchini Libya.
Katika mazungumzo yao, viongozi hao wamezungumza kuhusu umuhimu wa ushirikiano katika kupamabana na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuwa mataifa hayo mawili pia nai waathirika wa Covid-19.
Mazungumzo haraka yanatarajiwa ili kuimarisha ushirikiano baada ya Uingereza kujiondoa Brexit.
Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel amezungumzia Israel kuendelea kuhujuma ardhi za wapalestina na kuahidi kuongeza juhudi katika kutafuta suluhu la mzozo ambao unaendelea nchini Libya.
0 Comments