TANGAZA NASI

header ads

Morrison aipa Yanga pointi tatu muhimu


Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi baada ya kuipiga Kagera Sugar 1-0 katika dima la Kaitaba, Bukoba.

Bao la Yanga lilifungwa na Bernard Morrison dakika ya 79.

FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga.

Post a Comment

0 Comments