TANGAZA NASI

header ads

Thobias Andengenye aliyewahi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kigoma



Rais Magufuli amemteua Thobias Andengenye (aliyewahi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Andengenye anachukua nafasi ya Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga ambaye amestaafu.

Post a Comment

0 Comments