TANGAZA NASI

header ads

Rais Magufuli amhamisha kituo cha kazi DC wa Handeni Godwin Gondwe



Mhe.Rais Magufuli amemteua Bw.Toba Alnason Nguvila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, akichukua nafasi ya Bw.Godwin Gondwe ambaye amehamishwa kituo cha kazi na kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam.
(Capital Radio)

Post a Comment

0 Comments