Rais Magufuli leo
amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa Mkuu wa Mkoa Tabora akichukua nafasi ya
Aggrey Mwanri ambaye amestaafu, kabla ya uteuzi huo Sengati alikuwa DC wa Magu
Mkoani Mwanza, nafasi ya Sengati inachukuliwa na Salum Kali ambaye alikuwa
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza.
0 Comments