Rais Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel kuhusu ushirikiano.
Kitengo kinachohusika na upashaji habari ikulu ya rais mjini Ankara , mkurugenzi wake amesema kwamba viongozi hao wamezungumza kuhusu ushirikiano katika nyanja tofauti kati ya Uturuki na Ujerumani , ikiwemo oia ushirikiano katika kupambana na maambukizi ya virusi vya corona.
Katika mazungumzo yao , rais Erdoğan na Bi Merkel wamejadili pia hali inayoendelea nchini Libya, Syria na katika ukanda mzima wa Mashariki ya Kati.
0 Comments