Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @MagufuliJP leo Julai 05, 2020 amemtea Bw. Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya Mohamed Utaly .
Aidha, amemteua Bw. Waziri Kombo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo.
0 Comments