TANGAZA NASI

header ads

MAALIM SEIF AKOMAA NA URAIS,ATINGA OFISI ZA ACT,ACHUKUA FOMU


~Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amepokea fomu ya kugombania Urais wa Zanzibar.

~Maalim amepokea kutoka kwa katibu mkuu wa Chama hicho ndugu Ado Shaibu Ado katika Ofisi kuu ya Chama Vuga mjini Unguja.




Post a Comment

0 Comments