Yanga imeambulia sare ya 1-1 mbele ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Jamhuri, Morogor.
Goli la Mtibwa lilifungwa na Haruna Chanongo dakika ya 28 na lile la Yanga likifungwa na Adeyum Ahmed dakika ya 83.
FT: Mtibwa Sugar 1-1 Yanga SC.
0 Comments