Na Amiri Kilagalila
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR
Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na
kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa 2015 Bwana,Juju Martin Danda.Amechukuwa
fomu ya kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Njombe mjini
Danda amesema
“Siku ya leo nimeitumia kama siku maalum
kwangu kwa ajili ya kuja kuchukuwa fomu ya uteuzi wa mbunge jimbo la Njombe
mjini kwasababu kimsingi ni haki ya kila mwanachama wa chama cha mapinduzi” Bwana,Juju
Martin Danda meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa 2015
0 Comments