TANGAZA NASI

header ads

Takukuru kigoma yaomba msaada kwa wananchi

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/d5d85eb30ddbf22dca974b878fe32ef0.png
Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma inakabiriwa na changamoto ya uwepo wa watu wanaojitambulisha kuwa ni Maafisa wa Taasisi hiyo na kuwatapeli wananchi kinyume cha sheria.

Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kigoma Nestory Gatahwa amesema changamoto hiyo inazidi kushamiri katika baadhi ya maeneo ya Mkoa huo na hivyo wanachi wanatakiwa kutoa ushirikiano ili kukomesha suala hilo kufuatia changamoto..{muungwana blog}

Post a Comment

0 Comments