Na chrispin kalinga
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atangaza
rasmi shule zote nchini kufuliwa tarehe 29
juni 2020 amezungumza kauli hiyo wakati
akilihutubia bunge na kufunga bunge la 11 jijini Dodoma.
"kutokana na mwenendo wa corona kuendelea kuwa nzuri,kuanzia June 29 2020 naomba nitangaze kuanzia june 29 mwaka huu nafikili itakuwa jumatatu shule zote zilizo kuwa zimefungwa zifunguliwe lakini watanzania waendelee kuchukua tahadhari"
0 Comments