Na Thabiti Madai,Zanzibar
Mbwana Bakari Juma amekuwa Mgombea wa kwanza kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,Zoezi la uchukuaji fomu limefanyika leo katika ofisi kuu za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar zilizopo Kisiwandui Mjini Unguja.
0 Comments