TANGAZA NASI

header ads

Ligi ya mabingwa mikoa sasa yatia nanga

 https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcT9nbt2P6xR1HObkaz6lEYZ863MmXZkRm6LSBuJli3e41DsebFe&s
Na Chrispin Kalinga
Ligi ya mabingwa mikoa {RCL}iliyo kuwa imesimama kupisha janga la mlipuko wa  Corona inarajiwa kuanza rasmi tarehe 25 mpaka julai 4.mwaka huu.

Kwa mujibu wa afisa habari na mawasiliano wa Tff Cliford Mario Ndimbo amevitaja vituo vitakavyo tumika katika michezo hiyo kuwa ni Kigoma,Morogaro,Kilimanjaro na Ruvuma.

Akaongeza  kwa kusema kuwa hatua ya fainali itachezwa kuanzia julai 10 na kuhitimishwa julai 19 ikishirikisha jumla ya timu nane ambazo ni timu mbili za juu kutoka katika kila kundi.
Akamaliza kwa kusema kuwa fainali hizo zitatoa timu mbili zitakazo panda kwenda daraja la pili{SDL} msimu wa mwaka 2020/2021.

Post a Comment

0 Comments