Serikali imezuia timu ya JKT Tanzania FC kucheza na mashabiki kwa mechi zake zote zilizosalia kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodoma, kutokana na kukiukwa kwa mwongozo wa afya michezoni wakati wa mchezo kati ya timu hiyo na young Africans ya Dar es Salaam.
0 Comments