TANGAZA NASI

header ads

Aliye wahi kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha S.Jecha,achukuwa fomu ya Urais Zanzibar



Zanzibar

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha S.Jecha (aliyetangaza kufutwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2015) amechukuwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama Cha Mapinduzi.Jecha amechukuwa fomu hiyo kwenye ofisi za @ccm_tanzania Kisiwandui.

Jecha Salum Jecha amekuwa mgombea wa 14 kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.



Post a Comment

0 Comments