TANGAZA NASI

header ads

Wabunge wa Chadema watangaza kurejea bungeni baada ya kujiweka karantini siku 14



Tumaini Makene (@makene_tumaini) | Twitter

Wabunge wa CHADEMA wanatarajiwa kurejea bungeni leo Mei 15 kuendelea na majukumu yao baada ya kujiweka karantini kwa siku 14. Kupitia taarifa iliyotolewa na chama hicho leo inaeleza kuwa, wabunge hao watarejea baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19





 

 

Post a Comment

0 Comments