TANGAZA NASI

header ads

Burundi kuludisha Michezo Mei 21,2020



Shughuli za michezo nchini Burundi ikiwemo Ligi kuu ya soka, zitarejea Mei 21, 2020 ambapo itakuwa ni siku moja baada ya Uchaguzi mkuu wa Rais kufanyika nchini humo. Shirikisho la soka Burundi (FFB) limethibitisha kupitia taarifa yake.


Post a Comment

0 Comments