TANGAZA NASI

header ads

Aliyekuwa mke wa Mabeste,kumpa Neema mpenzi wake mpya


Aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Mabeste aitwae Lisa Fickenscher anatarajia kupata mtoto na mpenzi wake wa sasa.

Lisa atakuwa ni mtoto wa kwanza kwa mpenzi wake huyo mpya baada ya kuachana na Mabeste ambaye alizaa naye watoto wawili.

Mwishoni mwa mwaka jana Mabeste na Lisa waliweka wazi kuwa kuwa waliachana kutokana na mambo yao ya kifamilia zaidi.

Utakumbuka Mabeste na Lisa walifunga ndoa Oktoba 2016 wakiwa tayari wana mtoto mmoja aitwae, Kendrick Mabeste. Hivyo ndoa yao ilifakiwa kudumu kwa takribani miaka minne pekee.
(Bongo Swaggz)

Post a Comment

0 Comments