TANGAZA NASI

header ads

Wakili Albert Msando ashikiliwa na polisi Arusha




Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Linamshikilia Wakili wa Kujitegema Albert Msando kwa Mahojiano Maalumu kufuatia Kauli yake aliyoitoa jana kuwataka waandishi wa habari kutoogopa kuripoti hali halisi ya ugonjwa wa Corona nchini
Koka Moita Kaimu Kamanda Mkoa wa Arusha Amethibitisha. 

(Muungwana blog)

Post a Comment

0 Comments