Nchini China kumeripotiwa visa vipya vinne vya maambukizi ya virusi vya
corona kwa Aprili 29, ikiwa ni pungufu ya vingine 22 vilivyobanika siku
moja kabla.
Kwa mujibu wa mamlaka ya afya ya nchi hiyo visa vyote hivyo ni kutokoka
mataifa ya nje. Idadi jumla ya maambukizi hadi wakati huu imefikia watu
82,862, pasipo na kisa kipya cha kifo.
Kwa hivyo idadi jumla ya vifo nchini humo inasalia kuwa 4,633.
0 Comments