TANGAZA NASI

header ads

Mbunge wa Bukoba mjini,Wilfred Lwakatare (CHADEMA) kama Anna Tibaijuka


Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare, ametangaza kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu akifuata nyayo za Mbunge wa Muleba Kusini Anna Tibaijuka ambaye pia alitangaza kutogombea Ubunge katika uchaguzi wa mkuu wa mwaka huu.

Lwakatare ambaye amewahi kuwa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni amewashukuru wananchi wa jimbo la Bukoba (M) huku akipongeza umoja na mshikamano uliooneshwa na uongozi wa Halamashauri ya Bukoba bila kujali vyama vya siasa.

“Tumeonesha kuwa upinzani unaweza kufanya kazi bila migogoro, nishukuru madiwani wote wa Bukoba kwa vyama vyote (NCCR, CCM, CUF, CHADEMA) tumeendesha halmashauri kwa kuheshimiana chini ya uongozi wa Mkuu wa Mkoa na viongozi wote wa serikali”alieleza Lwakatare
Waziri Mkuu wa Tanzania Kasimu Majaliwa amesema

Post a Comment

0 Comments