TANGAZA NASI

header ads

Bilioni 189.141 zakamilisha miradi ya ujenzi wa Barabara Arusha

 




Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Arusha, imekamilisha miradi ya kitaifa ya ujenzi wa barabara za Sakina hadi Tengeru (njia nne) Kilometa 14.1, barabara ya mchepuko wa Kusini (Arusha Bypass) Kilometa 42.4 pamoja na ujenzi wa barabara ya Kia hadi Mererani Kilometa 26. Barabara zote hizi zimejengwa kwa kiwango cha lami na kukamilika kwa asilimia mia moja.

Post a Comment

0 Comments