TANGAZA NASI

header ads

Simba wamshambulia na kumuua afisa wa wanyamapori Afrika Kusini

 


Mtu mmoja amefariki baada ya kushambulia na simba wawili katika hifadi ya wanyama nchini Afrika Kusini, mamlaka zimesemasiku ya Jumatatu.

Malibongwe Mfila, 27, ambaye alifanya kazi ya kufuatilia mienendo ya wanyama katika mbuga ya kitaifa ya wanyama ya Marakel,amekuwa akiwatafuta wanyakma katika mbuga hiyo siku ya Jumamosi aliposhambuliwa na simba hao.

Polisi wnasema alikuwa akiendesha gari kuwatafuta wanyama kama vile simba na tembo ili kutoa ushauri kwa wanaowaelekeza watalii mbugani walipo wanyama hao.


Post a Comment

0 Comments