Wawakilishi wa CHADEMA wakiwa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, katika shughuli ya Kuaga Mwili wa aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Magufuli.
Kutoka kushoto ni Mchungaji Peter Msigwa (Mjumbe wa Kamati kuu), katikati ni Grace Kiwelu (Mjumbe wa Kamati kuu) na kulia ni Catherine Ruge (Mtunza hazina BAWACHA Taifa).
0 Comments