TANGAZA NASI

header ads

Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais- Waziri Lukuvi

 


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema hadi wanaenda Bungeni asubuhi ya leo, Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais. Lukuvi anasema Dkt Mpango alikuwa anaongea mambo mengine kabisa, kuonesha yeye na wabunge wengine walikuwa hawafahamu.

Lukuvi amewasisitiza Wabunge kupitisha jina la Dkt Mpango kwa anakidhi sana vigezo vyote kwa ajili ya nafasi hiyo.

Post a Comment

0 Comments