TANGAZA NASI

header ads

Dalili mpya za ugonjwa wa COVID-19 zimeripotiwa nchini Kenya

 


Dalili mpya za ugonjwa wa COVID-19 zimeripotiwa nchini Kenya, na kuendelea kuibua maswali zaidi kuhusu tabia za virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa huo.

Katika kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzuka kwa ugonjwa wa Covid 19 ama UVIKO , dalili zinazofahamika zaidi ni kukohoa, joto jingi mwilini, kupoteza uwezo wa kuhisi harufu na ladha ya kitu.

Lakini sasa zimebainika dalili zingine mpya ambazo ni pamoja na vidole kugeuka rangi, upele,maumivu kifuani huku baadhi ya wagonjwa wakionyesha pia dalili za kuhara na kutapika.

Kujua zaidi kuhusu dalili hizi mpya awali nimzungumza na Dr Yubrin Moraa, akianza kufafanua zaidi kuhusu hizi dalili mpya za Corona zilizoibuka huko Kenya

Post a Comment

0 Comments