TANGAZA NASI

header ads

Tanzia: Kamanda Kidavashari afariki dunia

 


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro ametangaza kifo cha Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari kilichotokea leo katika Hospitali ya Christian Medical Center Trust (DCMCT ) iliyopo Dodoma ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Post a Comment

0 Comments