Rais Dk.John Magufuli amesema katika miaka mitano ijayo Serikali itatunga sheria mahususi ya kuwalinda madereva wa Tanzania.
"Katika miaka mitano ijayo tutahakikisha kuwa tunaipa hadhi kazi ya udereva ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa wamiliki wa magari kutoa mikataba kwa madereva, katika hilo itatungwa sheria mahususi ya kuwalinda madereva wa nchi hii," amesema Rais Magufuli.
0 Comments