Kamati ya Maadili Jimbo la Kinondoni, imemfungia mgombea wa ubunge Saed Kubenea kupitia ACT-Wazalendo kutofanya kampeni kwa siku 7, kuanzia leo hadi Oktoba 27,2020, akituhumiwa kwa makosa ya ukiukwaji wa maadili dhidi ya mgombea wa CCM, Abbas Tarimba
0 Comments