TANGAZA NASI

header ads

Katwila Ajiuzulu Mtibwa Sugar



 Zuber Katwila amejiuzulu nafasi yake ya kuifundisha Mtibwa Sugar kama Kocha Mkuu. Tetesi zilizopo ni kwamba, huenda akajiunga na Ihefu SC ambayo hivi karibuni ilisitisha mkataba wa Kocha wake Mkuu Maka Mwalwisi.

Post a Comment

0 Comments