Na Amiri Kilagalila, Njombe
Ofisi ya taifa ya Mashtaka imewaidhinishia mashtaka ya mauaji ya kukusudia watuhumiwa wanne wa mauaji ya kada wa Chama cha Mapinduzi na kiongozi wa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Iringa Emmanuel Mlelwa aliyeuawa mkoani Njombe
0 Comments