Kufuatia kuenea kwa video inayoonesha washabiki wa klabu ya Yanga wakimpiga Mshabiki wa klabu ya Simba katika moja ya mechi zilizofanyika kwenye uwanja wa Mkapa , Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Kaimu katibu Mkuu wake Wakili Saimon Ptrick imelaani vikali kitendo hicho kilichofanywa na washabiki wa klabu hiyo.
0 Comments