TANGAZA NASI

header ads

Picha:Maelfu ya wananchi waliojitokeza Bukoba kwa ajili ya kumsikiliza mgombea wa Urais JMT- Kupitia CCM

 


Na Clavery Christian Bukoba Kagera.

Wakazi wa Bukoba Mkoani kagera wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Gymkana kwa ajiri ya kuweza kumsikiliza mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi CCM katika kunadi ilani ya chama cha mapinduzi na kuomba kura za ndiyo kwa wagombea wote wa chama hicho kuanzia udiwani mpaka Urais.



Rais Magufuli na mpeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais anaendelea na kampeni zake mkoani Kagera za kuomba kura na kuwaelezea wananchi waliyoyafanya katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Post a Comment

0 Comments