TANGAZA NASI

header ads

Awamu ya tano imehimarisha Diplomasia- Polepole

 



 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Humphrey Polepole amesema ndani ya Miaka 5 chama hicho kimeweza kuwa na ngome ya kuweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Akizungumza Wilayani CHATO, amesema mtaji mkubwa wa kuibuka kidedea kwenye uchaguzi uliopo mbele yao, ni hazina ya wanachama wanaofikia Milioni 17.

Kuhusu Diplomasia, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amesema Serikali ya Dkt John MAGUFULI imeweza kuimarisha uhusiano na mataifa mbalimbali.

Amesema imefanikiwa kuimarisha Diplomasia ya Uchumi na Siasa, ikiwemo kufungua Balozi kwenye nchi zingine ili kukuza ushirikiano.

Post a Comment

0 Comments