Luis Miquissone na Pascal Wawa wamerejea nchini na watakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitaenda jijini Arusha kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC ambao utapigwa jumapili Agosti 30, 2020.