TANGAZA NASI

header ads

"Tutasimamisha wagombea wa Ubunge na Udiwani kwa 100%" Mbowe


"Hatutaingia kwenye ushirikiano na vyama vingine tu kama fasheni,tutaingia kwenye ushirikiano kwa watu walio siriasi na ambao hawatatuuza njiani,tunaendelea na mzungumzo" amesema Freeman Mbowe

"Mimi binafsi kama Mbowe hiki chama kwangu ni kama mtoto, haiwezekani tamaa zangu binafsi zikawa za maana kuliko uhai wa chama chetu, tumeumia sana kuiwezesha Chadema na hatutaacha safari hiyo kwasababu ya malengo binafsi"



"Tumeonewa sana, tumebaguliwa sana, tumepigwa risasi sana, tumeibiwa kura sana, tumefungwa sana, tumenyanyaswa Sana, Uchaguzi huu tukaseme enough, sasa basi" Mwenyekiti wa Taifa, Mhe
@freemanmbowetz
"Tutasimamisha wagombea wa Ubunge na Udiwani kwa 100% nchi nzima, Lakini ikionekana kuna mgombea wa chama kingine cha upinzani mwenye mashiko kuliko wetu, tunaweza kumuachia kama tutalazimika kufanya hivyo" Mbowe

Post a Comment

0 Comments