TANGAZA NASI

header ads

Membe ateuliwa kuwa mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa chama na Emmanuel Mvula kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa chama hicho kuanzia leo August 3 2020.

Amefanya uteuzi huo katika Kikao cha Halmashauri Kuu kilichofanyika leo Jijini DSM



Post a Comment

0 Comments