Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa.
Simba SC tunatoa pole kwa familia, ndugu, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa kwa Taifa letu.
Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin. #RIPMzeeMkapa
0 Comments