TANGAZA NASI

header ads

TANZIA:Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa afariki Dunia


Rais John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh,Benjamin William Mkapa,Kilichotokea jana majira ya saa sita usiku.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepono.

Aidha

Rais Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Ijumaa July 24,2020 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea DSM, katika kipindi chote cha maombolezo bendera zote zitapepea nusu mlingoti.
#RIPMzeeMkapa🙏


Post a Comment

0 Comments