Basi 3 za kampuni ya ABOOD zinazofanya Safari zake kutoka mikoa ya morogoro , zimegonganga zenyewe kwa kile kinachoelezwa kuwa ni madereva wa mabasi hayo kushindana kwa 'speed' barabarani.
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Bwawani , na bado hakuna taarifa rasmi juu ya majeruhi au vifo vyovyote. (Credit:Muungwana Blog)
0 Comments