Mbunge wa Ubungo Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Said Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo leo jumamoasi julai 18,2020.
Kubenea amepokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho.
0 Comments